Rosano / Lyrics

neema - ddc mlimani park (cosmas chidumule)

Mfano wa 1
Usipate taabu Neema
Uliyoyafanya siyo mageni hapa duniani ee
Ikiwa ni kupendana mama
Wako waliopendana kama watoto mapacha
Ikiwa ni mapenzi bibi
Wako waliopendana kama kumbikumbi
Kumbikumbi ooo
Wanapendana sana
Hata wakati wa kutembea utawaona
Bibi mbele, bwana nyuma
Lakini sio ajabu hata pacha hutokea wakati
Wakakosa kuelewana aa
Tena kwa viapo oo Neema
Sembuse mimi na wewe m

Mfano wa 2
Ninapata taabu moyoni mwangu mimi (msemo)
Kwa kweli
Nimekupenda wewe lakini hunijali mama (sitiari)
Tumekuwa sisi wawili
Kama sinema (tashbihi)
Hapa nyumbani kwetu kila siku kelele
Carren Nyandiba
69
Lakini kwa vile ee ee
Tunaishi hapa kwa wazazi wako
Mwenye sauti ni wewe (fumbo)
Naogopa fedheha mama oo mie
Naona aibu kweli mpenzi (msemo)
Hapa ni kwa wakwe zangu
Sisemi lolote, (fumbo)
Fanya upendavyo (fumbo)
(Dondoo kutoka kwa ubeti wa kwanza wa Majirani huzima redio wa DDC
Mlimani Park)

Mfano wa 3
Nimekuchagua wewe, Nikupende,
Mama… Sitaki mwingine,(sitiari)
Aushi usiniache… Usinitende, (msemo)
Mama… Usipende mwingine,
Moyo wangu ni mwepesi,(tashhisi)
Umenikalia chapati,(fumbo)
Nafanya vituko kama chizi,( tashbihi)
Kukupenda sitasizi,(Uchanganyaji msimbo pamwe na utohozi)
Moyo wangu ni mwepesi,
Umenikalia chapati,
Nafanya vituko kama chizi,
Kukupenda sitasizi
(kutoka ubeti wa kwanza wa kwanza wa wimbo Sura yako Mzuri wa Sauti
Sol)

Mfano wa 4
Nakuomba Nerea, Usitoe Mimba Yangu We,(msemo)
Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake,(msemo)
Mlete Nitamlea, Usitoe Mimba Yangu We,
Mungu Akileta Mtoto, Analeta Saa Ni Yake,
(kutoka ubeti wa kwanza wa kwanza wa Nerea wa Sauti Sol )

Mfano wa 5
Maneno mshororo
Huenda Akawa Obama, Atawale Amerika, 1
Huenda Akawa Lupita, Oscar Nazo Akashinda, 2
Huenda Akawa Wanyama, Acheze Soka Uingereza, 3
Huenda Akawa Kenyatta, Mwanzilishi wa Taifa, 4

Mfano wa 6
Maneno mshororo
Sura yako mzuri mama, Aaaah 1
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) 2
Na tabasamu lako maua, Aaaah, 3
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) 4
Sura yako mzuri mama, Aaaah 5
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) 6
Na tabasamu lako maua, Aaaah, 7
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) [x2] 8
Na figure yako kama ya chupa, Aaaah (uchanganyaji
msimbo pamoja na tashbihi) 9
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama) 10
Na tabasamu lako maua, Aaaah 11
(Mzuri mama, mzuri mama, mzuri mama 12

sources

Part of Kenya 2025.

Topics: swahili.
Source Search YouTube, Translate via DeepL